Matukio muhimu | 08.01.2009
Mzozo wa Gaza-Mashirika ya misaada yajiondoa.

Mashirika ya kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo la Gaza yasimamisha mara moja shughuli zao kwa kutokana na kuendelea kuzorota kwa usalama katika eneo hilo na kuhofia usalama wao. »Mehr zu: title"
Habari
Shirika la Umoja wa Mataifa linalotoa misaada Gaza lasitisha huduma hiyo.
GAZA:
Jumla ya watu 11 wameuawa katika mashambulio mapya yaliyofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza.
Msemaji wa Shirika la Umoja ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 08.01.2009
Mzozo wa gesi barani Ulaya

Urusi imesema ipo tayari kuanza tena kupeleka gesi barani Ulaya. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 08.01.2009
Juhudi za kidiplomasia zashika kasi

Makundi manane ya wapalastina yanapinga mpango wa amani ulioshauriwa na Misri na Ufaransa »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 08.01.2009
Waziri wa Ushirikiano na Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza ziarani Rwanda
Uingereza imesema Rwanda na nchi nyingine katika kanda zina jukumu kubwa kuhakikisha kuwa amani inapatikana mashariki mwa jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. »Mehr zu: title"
Audios and videos on the topic
Matukio muhimu | 08.01.2009
Israel yafanya mashambulizi dhidi ya Lebanon

Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita vya Gaza, mashambulizi ya mizinga ya kutoka ardhi ya Lebanon yameripotiwa kushambulia maeneo ya Kaskazini mwa Israel. »Mehr zu: title"







