1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages

 
 
 

 

Matukio muhimu | 09.01.2009

Vita Gaza- Israel yakataa azimio la Umoja wa mataifa

 Mashambulizi makali yanayotekelezwa na Israel Gaza.

Bazara la mawaziri nchini Israel limekubaliana kuendeleza mashambulizi dhidi ya Hamas licha ya azimio lililopitishwa na Umoja wa mataifa kuitaka nchi hiyo ikomeshe vita katika eneo la Mashariki ya kati »

 

Habari

Israel yalikataa azimio la UN

JERUSALEM

Waziri Mkuu wa Israel Ehud, Olmert, amelikataa azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kuitaka isitishe operesheni zake ... »

More news

Matukio ya Kisiasa | 09.01.2009

Je Umoja wa Mataifa una nguvu kiasi gani Mashariki ya Kati?

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon (kushoto) na waziri wa mashauri ya kigeni wa Misri, Ahmed Aboul Gheit mjini New York Marekani

Azimio jipya la Umoja wa Mataifa halitaleta mabadiliko yoyote »

 

Matukio ya Kisiasa | 09.01.2009

Urusi yatanua misuli yake katika mzozo wa gesi na Ukraine

Nani atakayekuwa mshindi katika mvutano huu? »

 

Matukio ya Kisiasa | 09.01.2009

MZOZO WA GESI: Umoja wa ulaya wadai kuzipatanisha Urusi na Ukraine.

Mkurugenzi wa kampuni  Gazprom nchini Urusi Alexei Miller, kulia na rais wa bunge la Ulaya Hans-Gert Poettering baada ya kuzungumza na waandishi habari, Brussels.

Mataifa ya ulaya ambayo yameathiriwa na mzozo wa gesi kati ya Urusi na Ukraine yanataraji kuwa hali itarejea kuwa ya kawaida baada ya umoja wa nchi hizo kudai umeweza kuzipatanisha pande zote mbili.  »

 

Matukio muhimu | 09.01.2009

Vita vya Gaza- Umoja wa Mataifa wapitisha azimio

 Wanajeshi wa Isreal wakiingia maeneo ya Gaza

Watu 12 wameuawa kufuatia mashambulizi makali ya wanajeshi wa Israel katika maeneo ya Gaza licha ya baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kupitisha azimio la kusitishwa kwa vita katika eneo hilo la Mashariki ya Ka »

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

euromaxx (deutsch) - Rammstein im deutschen Chor-Repertoire