1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages

 
 
 

 

Deutsche Welle barani Afrika

Großansicht des Bildes mit der Bildunterschrift:

Tokea tarehe 29, Oktoba, 2006 Deutsche Welle Idhaa ya Kiswahili imeanzisha mfumo mpya wa matangazo kwa Afrika.

Katika mfumo huu mpya unaweza kusikiliza matangazo kwa lugha tofauti zinazokujia kwa awamu moja kwa moja kwenye masafa mafupi yaani Short Wave.

Deutsche Welle ina muda wa saa 15 za habari na uchambuzi katika lugha sita tofauti. Muda wa matangazo yetu ni bora kwa wasikilizaji popote pale walipo.

 
 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

popXport - Das Deutsche Musikmagazin