1. main content
  2. main navigation
  3. extra content
  4. head navigation
  5. search
  6. Choose form 30 Languages

 
 
 

 

Masuala ya Jamii | 09.01.2009

Asilimia 25 ya Commerzbank ya Ujerumani ni mali ya serekali

Alama za Commerzbank na Dresner Bank katika majengo yao mjini Köln

Robo moja ya Commerzbank ya Ujerumani imetaifishwa »

 

Masuala ya Jamii | 09.01.2009

Angola yafunga mpaka wake na DRC

Ndugu wa wagonjwa walioambukizwa virusi vya Ebola wakijikinga ili kutoambukizwa ugonjwa huo.

Kutokana na kuzuka kwa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusababisha vifo kadhaa, nchi jirani ya Angola imeamua kufunga mipaka yake, lengo likiwa kuzuia ugonjwa huo usiingie nchini humo. »

 

Masuala ya Jamii | 08.01.2009

Afrika kusini yawafukuza Wazimbabwe

Afrika Kusini imetakiwa kulegeza sheria zake kuhusu idadi ya wahamiaji kutoka Zimbabwe inayowaruhusu kuishi nchini humo. »

 

Masuala ya Jamii | 07.01.2009

Kenya na Uganda kujenga njia ya reli

Rais wa Kenya Mwai Kibaki, (katikati), akiwa na Waziri Mkuu, Raila Odinga, (kulia) wakati wa upatanishi uliofanywa na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan, (shoto), kutokana na machafuko baada ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, wakiahidi kufanya kazi kwa pamoja kuijenga Kenya.

Kenya na Uganda zina mpango wa kujenga njia mpya ya reli kutoka katika bandari ya Mombasa kwa lengo la kukabiliana na ongezeko la biashara baina ya nchi za Afrika Mashariki na nchi jirani zisizo na bandari. »

 

Podcasting & Feeds | 18.12.2008

RSS-Feeds Deutschkurse

RSS Logo

Hier finden Sie eine Zusammenstellung aller RSS-Feeds der Redaktion Deutschkurse. »

 

Search

Archive

Title

 

 


 
Picture of the Day
ImageOfTheDay

DW-TV EUROPE live

Journal (deutsch) - Mit Tagesthema