Matukio muhimu | 21.11.2008
Maharamia wakisomali wadai dola millioni 25 kabla ya kuiachilia huru meli ya Saudi Arabia

Marekani na Saudi Arabia hazijathibitisha taarifa hizo »Mehr zu: title"
Habari
Maharamia wa Somalia wazidi kujidhatiti
MOGADISHU
Maharamia wa Somalia wameimarisha ulinzi kuzunguka meli ya mafuta ya Saudi Arabia waliyoiteka nyara, huku wakiendelea ...
»Mehr zu: title"More news
Matukio ya Kisiasa | 21.11.2008
Obama sasa anaelekea kumteua Hillary Clinton kuwa waziri wa mambo ya nchi za Nje wa Marekani

Kamati kuu inayoisuka serikali ya Rais Mteule Barrak Obama nchini Marekani, inasema kuwa rais huyo mteule , sasa inaelekea kumteua Hillary Rodham Clinton, mke wa Rais wa zamani Bill Clinton. »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 20.11.2008
Kadi ya Buluu
Kadi ya buluu kumwezesha mgeni mwenye ujuzi na ufundi kuhamia nchi ya Umoja wa Ulaya kuidhinishwa leo Strassbourg: »Mehr zu: title"
Matukio ya Kisiasa | 19.11.2008
Bw.Steinmeier na Ukanzela .

Waziri wa nje wa Ujerumani Bw.steinmeier akumbana na changamoto kali kutoka kwa Bibi Angela Merkel. »Mehr zu: title"
Matukio muhimu | 20.11.2008
Vikosi vya waasi nchini Kongo vyarudi nyuma

Wapiganaji wa jenerali muasi wa Kitutsi Laurent Nkunda, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,jana jioni walianza kuondoka mstari wa mbele wa mapigano. »Mehr zu: title"







